1 Bedrooms House for sale at Kimara, Dar Es Salaam







NEW Apartment_Classic_For_Rent
Zipo 2 Kwenye Fence
Location: KIMARA TEMBONI
Upande Wa Kushoto Kama Unaenda Mbezi
Distance: KM 1.2 Kutoka Morogoro Road
Usafiri 24Hours Bajaji 500 Ukishuka Dk 3
PRICE: 200,000 × 6
✔️Sebule Kubwa
✔️Chumba Kimoja Kikubwa Master
✔️Jiko Kubwa Zuri
✔️Umeme SUB-METER Yako
✔️Maji Yanaflow Jikoni Na Chooni 24HRS
✔️Parking Space Kubwa 🚘
✔️Good Environment 👍
Itakuwa Tayari Kuingia 29/08/2025
Kuona Nyumba Na Kulipia RUKSA BOSS 💰 ✍️
Service Charge 20,000
1 Month Agent Commission
Contact Us
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp