House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







CHUMBA MASTER KIKUBWA SANA KINA PANGISHWA
KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI
KODI 100,000X4/5_6
UMEME SAB MITA
MAJI YANA TILILIKA NDANI
IPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA SANA FULL PEVING BLOCK
UMBALI KM 2
BAJAJI 700
BODA 1000
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA