1 Bedrooms House for sale at Mbezi, Dar Es Salaam







🇹🇿NYUMBA KUBWA YA KISASA YA FAMILIA INAUZWA PAMOJA NA SERVANT COTER YAKE YA CHUMBA MASTER NA SEBULE BEI NI MILIONI 90 MAONGEZI YAPO
✍️SEBULE KUBWA SANA
✍️DINNING ROOM
✍️VYUMBA V3 VIKUBWA
✍️CHUMBA KIMOJA MASTER
✍️JIKO KUBWA ZURI
✍️STORE KUBWA
✍️PUBLIC TOILET INSIDE 🚻
UKUBWA WA KIWANJA UPANA METERS 25 NA UREFU NI METERS 30 ( METERS 25/30)
DOCUMENTS:- MAUZIANO HALALI KUTOKA SERIKALI YA MTAA
BEI YA KUUZWA NI MILIONI 90 MAONGEZI YAPO
💫💫 NYUMBA HII IPO MBEZI MWISHO NJIA YA KUELEKEA MPIGI MAGOHE NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 3 NA KUTOKA MPIGI ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 3 TUU KWA MIGUU
SERVICE CHARGE 30,000
For More Informations
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp