1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







🇹🇿Apartment Classic For Rent
Zipo 3 Kwenye Fence [ Mbali Mbali ]
Location: KIMARA KOROGWE KILUNGULE
Distance: Dakika 15 🚶Au KM 1 Kutoka MWENDOKASI
Usafiri 24Hours Bajaji, Daladala 500 Ukishuka Dk 7 🚶
Price: 500,000 × 6
📍Itakuwa Wazi 30/07/2025
-Kuona Nyumba Na Kulipia RUKSA BOSS 💰✍️
✅️Sebule Kubwa Sana
✅️Dinning Room
✅️Vyumba V3 Vikubwa
✅️Chumba Kimoja Master
✅️Jiko Kubwa la Kisasa
✅️Public Toilet Nzuri 🚻
✅️Inajitegemea UMEME Na MAJI
✅️Yanaflow Jikoni Na Vyooni 24HRS
✅️Reserve TANKS
✅️Fenced
✅️Parking Car Available 🚗
✅️Paving Blocks Zinawekwa 🚫
✅️Good Environment 👍
Service Charge 15,000
1 Month Agent Commission
Contact Us: 0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp