1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


(400,000X6)KIMARA KOROGWE
➖➖➖➖➖➖➖➖
APARTMENT MPYA ZA KISASA ZINAPANGISHWA ZIPO KATI YA KIMARA KOROGWE NA KIMARA MWISHO & UMBALI KUTOKA KIMARA KOROGWE NI DK 15 KWA MIGUU NA UMBALI KUTOKA KIMARA MWISHO NI DK 20.
--------------
ZIPO APARTMENTS NNE KWENYE FENSI NA 3 NDIO ZIPO WAZI KILA MOJA INAJITEGEMEA UMEME PAMOJA NA MAJI DAWASA.
CHUMBA KIMOJA
SEBULE KUBWA
JIKO LA KISASA
TAILS
GYPSUM
AIR CONDITION
REZEV SIMTANK
MADIRISHA ALUMINIUM
UMEME LUKU INAJITEGEMEA NA MAJI DAWASA MITA YAKO.
FULL PAVING BLOCK
ELECTRIC SECURITY
CAR PARKING SPACE
NDANI YA FENSI.
-----
KODI NI LAKI 400,000 /=
KWA MWEZI
MALIPO MIEZI SITA NA MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA.
KUONA NYUMBA NI ELFU 15,000 /=
-------
0716223412
0683597453
NAMALIZA BIASHARA.