1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







Apartment Inapangishwa:
Location :: Kimara baruti mita 600 toka lami
Bei yake :: 200,000Tsh kwa mwezi (Miezi 6)
Muundo wa nyumba;
๐ก๏ธChumba Kimoja ambacho ni Masta)
Jiko kubwa
๐ก๏ธSebule kubwa
๐ก๏ธChoo cha wageni
๐ก๏ธFence
๐ก๏ธUmeme wako
Maji yanaflow
Kuingia ni tarehe 15.5.2025 kuona na kulipia Ruksa
Dalali mzoefu mwezi mmoja ulipiapo nyumba sevchage 15,000 kuona nyumba
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347