1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA
ITAKUA WAZI KUANZIA 15/05/2025
PRICE: 500,000 × 6
✔️SEBULE KUBWA SANA
✔️VYUMBA V3 VIKUBWA VYA KULALA
✔️CHUMBA KIMOJA MASTER
✔️JIKO KUBWA ZURI
✔️PUBLIC TOILET 🚻
📌ZIPO APARTMENT 2 TUU KWENYE FENCE MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
✔️PARKING KUBWA 🚗
✔️LUKU Na METER YA MAJI INAJITEGEMEA
✔️YANAFLOW NDANI 24HRS
✔️RESERVE TANK
✔️GOOD ENVIRONMENT 👍
💫💫 APARTMENT HII IPO MBEZI KWA MSUGURI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DK 3 UPO KWENYE NYUMBA
SERVICE CHARGE 15,000
1 MONTH AGENT COMMISSION
CONTACT US
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp