2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT'S ZINA PANGISHWA LOCATION:KIMARA TEMBONI KM2.5 KUTOKA LAMI USAFIRI UPO BAJAJI 700
#VYUMBA VIWILI VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#SEBLE KUBWAAA SANA
#DINNING ROOM KUBWAAA
#NA JIKO LAKE KUBWA SANA
#CHOO CHA PUBLIC KIPO NDANI
#NA KIBALAZA CHAKO
#MAJI YANA FLOW NDANI
#UMEME LUKU YAKO MWENYEWE
#MAJI DAWASCO METER YAKO
#NYUMBA IPO NDANI YA FENCE
#PARKING SPACE IPO KUBWAAA
KODI NI 250,000/=X"4"
MALIPO YA DALALI YA MWEZI MMOJA
SERVICE CHARGE NI:150,00/=
WHATSAPP: 0689-547258



















