2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







Apartiment house for rent nzuri kali sana
Location kimara korongwe km2 usafiri upo bajaji na daladala za kwenda mjini
Kodi 300000 kwa mwezi na dalali mwezi 1 Service charge 15000 kuona nyumba
Room 2 moja ni master bedroom
Sitting room
Kitchen
Public toilet
Umeme luku yake
Maji dawasa ndani yanafloo
Nyumba haipo ndani ya fency ila usalama wa kutosha
dalali ubungo mbezi kimara
0785299128



















