2 Bedrooms House for Rent at Tabata, Dar Es Salaam


Nyumba mpya inapangishwa Tabata Segerea.
- Vyumba viwili (kimoja master)
- Sebule
- Dinning
- Jiko kubwa (anaweka makabati)
- Store
- Umeme unajitegemea
- Maji unajitegemea
- Paving anaweka
- Parking
- Water reserve tank
- Dakika 5 kutoka kituoni
Kodi 500,000/= MIEZI kwanzia minne.
KUINGIA TAREHE 1 MWEIZ WA 9.
Muhitaji piga 📞 0688 412 890.