2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kiluvya, Pwani







APARTMENT INAPANGISHWA KILUVYA KWA KOMBA#150K
Vyumba 2 vya kulala sebule jiko na public toilet
Kodi 150,000 kwa mwezi × 4
Inajitegemea umeme, maji yanaflow chooni
Umbali km 1.5 bodaboda 1000
Haina fence lkn usalama ipo
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
O679447338
O753454167