2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA YA CHINI INAKUWA WAZI TAREHE 20/12/2025
#SEBULE KUBWA
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER 
#JIKO KUBWA
#PUBLICK TOILET
#LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA MAJI DAWASA YANATOKA NDANI NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA SANA ULINZI WA KUTOSHA
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 6-7 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI NJIA RAFIKI KWA GARI ZOTE ZA CHINI 
#BEI NI 400,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 12 AU 450,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
SIMU 0759336751
WSP 0786085637



















