2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


โโ
APARTMENT NZURI NA KUBWA INAPANGISHWA IPO KIMARA SUKA
๐ฅ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA
โผ๏ธ HAKUNA MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LINAWEKWA SINKI ZURI LA KUOSHEA VYOMBO
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24
#MAFUNDI WAPO KAZINI UCK NA MCHANA NA IMEBAKIA VITU VIDOGO VIDOGO TUU
#PARKING
#GARDEN
BEI NI 300,000/=X6
ILIPWE LAKI 3 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
๐๏ธ APARTMENT HII IPO KIMARA SUKA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI NA KUTEMBEA KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 10 TUU KWA MIGUU
๐๐ SERVICE CHARGE NI SHILINGI ELFU 15 TUU NA BILA KUSAHAU PESA YA MWEZI YA DALALI SHILINGI LAKI 3 KWA MWEZI
CONT
0683234124
0718367179