2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI SANA
NDANI YA FENCE
INAPANGISHWA
KIMARA TEMBONI 
๐ฅKODI YAKE 300K  X 6
๐๏ธ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO ๐๐
๐ธVYUMBA VIWILI VYA KULALA NA HAPO VYOTE NI MASTER BEDROOM'S 
๐ธSEBULE SAFI
๐ธJIKO SAFI 
๐ธMETER  YA UMEME NA MAJI SAFI DAWASA INAJITEGEMEA 
๐ธPARKING KUBWA USALAMA WA KUTOSHA. 
๐ฅINAYOPANGISHWA NI YA  JUU NDUGU MTEJA, NA HAPO WAPANGAJI NI WAWILI TU..
๐๏ธ APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI 
UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA 
NI KM1.7
BAJAJI TSH700/=
PIKI PIKI TSH 1,000/=
SERVICE CHARGE 15K 
NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA.
๐๏ธ๐น๐ฟKARIBUNI SAANA, NA HII SIO YA KUCHELEWA ๐๐ปโโ๏ธ๐๐ปโโ๏ธ๐๏ธ
SIMU
+255 684 88 14 29 
+255 658 58 64 49 
MSHATI




















