Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI SANA
NDANI YA FENCE
INAPANGISHWA
KIMARA TEMBONI
💥KODI YAKE 300K X 6
🏘️ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO 👇👇
🔸VYUMBA VIWILI VYA KULALA NA HAPO VYOTE NI MASTER BEDROOM'S
🔸SEBULE SAFI
🔸JIKO SAFI
🔸METER YA UMEME NA MAJI SAFI DAWASA INAJITEGEMEA
🔸PARKING KUBWA USALAMA WA KUTOSHA.
💥INAYOPANGISHWA NI YA JUU NDUGU MTEJA, NA HAPO WAPANGAJI NI WAWILI TU..
🏘️ APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI
UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA
NI KM1.7
BAJAJI TSH700/=
PIKI PIKI TSH 1,000/=
SERVICE CHARGE 15K
NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA.
🏘️🇹🇿KARIBUNI SAANA, NA HII SIO YA KUCHELEWA 🏃🏻♂️🏃🏻♂️🏘️
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI