2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT KALI MPYAA MPYAA ZINAPANGISHWA
LOCATION KIMARA BARUTI
KODI 525,000X6
UMBALI DAKIKA 3 KWA MIGUU
APARTMENT ZIPO TATU KWENYE COMPAUND MOJA
VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER NA JIKO LAKE TOILET PUBLIC YA NDANI
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI YANATILILIKA NDAN
HITA YA MAJI BARID NA MAJI MOTO
NDUGU MTEJA NYUMBA IPO NDANI YA FENSI MAFUNDI WAPO KAZINI
WANAMALIZIA KUPAKA RANGI NA PEVING
KUONA NA KULIPIA LUKSA
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG 15,000 SIMU 0659336751 WSP 0786085637
NA BILA KUSAHAU MALIPO YA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA