3 Bedrooms House for Rent at Kiluvya, Pwani







NYUMBA NZURI YA KISASA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI INAPANGISHWA BEI NI 350k/= X 6
💥 NYUMBA HII INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#DINNING
#JIKO KUBWA
#STORE
#PARKING KUBWA
BEI NI 350k/= X 6
🇹🇿 NYUMBA HII IKO KILUVYA MADUKANI NA KUTOKA ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KILOMITA 1.7 TUU
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 20 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA