3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







🔥 STAND ALONE YA FAMILIA KUBWA INAPANGISHWA
➖➖➖➖➖
📍 Kimara Korogwe
🕑 Umbali wa dakika 8–10 kwa miguu kutoka Stendi ya Mwendo Kasi
Usafiri: Boda Tsh 1,000 kutoka stendi hadi eneo la nyumba.
SIFA ZA NYUMBA
🌲 Vyumba vitatu (kimoja Master)
🌲 Sebule kubwa
🌲 Dining
🌲 Jiko
🌲 Choo cha familia ndani
🌲 Umeme & maji inajitegemea
🌲 Maji yanatoka masaa 24
🌲 Fensi ya michongoma & parking kubwa
👉 Nyumba hii kubwa ipo kwenye ukarabati wa ndani na nje ili kumpa mteja mwonekano mzuri na wa kisasa. Ikikamilika itakuwa safi, nadhifu na ya kupendeza sana kwa matumizi.
GHARAMA
🔷 Kodi: Tsh 450,000/= kwa miezi 6
🔷 Malipo ya dalali: Tsh 450,000/=
🔷 Service Charge: Tsh 15,000/=
___________
📞
#Piga_simu:
#Follow_us 🙏
Karibu Sana Mteja 😊
###0655256419



















