3 Bedrooms House for sale at Temeke, Dar Es Salaam







NYUMBA KALLI SANA INA UZWA BEI YA KUTUPA SANA TSH MIL 43 TU
WAI MDAU WANGU HII SI YA KUIKOSA KABISA IPO MKOA WA DAR ES SALAM WILAYA YA TEMEKE KATA YA CHAMAZI MTAA WA DOVYA
INA VYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJA NI MASTER BDROOM INA SITTING ROOM INA DAINING ROOM NA JIKO PAMOJA NA PUBLIC TOILET
INA FENS GARI NDOGO 2
ZINA INGIA NDANI NJOO NKUZIE BOSS WANGU HII NYUMBA NZURI SANA UKIWA SIRIOUSE NIPIGIE CM AU NICHEKI WHATSAPP
0759 203175. 0652618143