3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENTS NZURI SANA ZIPO TATU TU NDANI YA FENCE PACKING SPACE KUBWA KILAMOJA INAJITEGEMEA UMEME WAKE NA MAJI YANAFLOO NDANI
#SIFAZAKE
>INAVYUMBA VITATU VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
>SEBULE KUBWA
>DAINING
>JIKO KUBWA
>STOO
>PUBLIC TOILET
LOCATION, :KIMARA BARUTI
UMBALI KUTOKA STEND YA MWENDOKASI NI DK 4 KWA MIGUU
BEI:LAKI 500K X MIEZI 6
SERVICE CHARGE TSH 15,000
PIGA SIMU#0625606710 AU 0783794666