3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT KUBWA NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 350,000/= X 6
🏠APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#INAVYUMBA VITATU (3)VIKUBWA SANA VYA KULALA ..KIMOJA WAPO NI MASTER
#SEBULE KUBWA
#DAINING
#JIKO KUBWA
#STORE KUBWA
#PUBLIC TOILET
#LUKU YAKO NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA PIA YANAFLOW JIKO NA TOILET
#PARKING
BEI NI 350,000/= X 6
🛣NYUMBA HII IPO KIMARA MWISHO
..UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.5 ..USAFIRI BAJAJI 1000..DALADALA 700 UKISHUKA DK 1
KUONESHWA NYUMBA HII GHARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
#0785889413