3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT HII INAPANGISHWA IPO JIRANI KABISA NA BARABARA BEI NI 300,000/= X 6
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
# VYUMBA 3 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM
# SEBULE KUBWA
# JIKO KUBWA
# PUBLIC TOILET
# LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
# PARKING KUBWA
# IPO JIRANI NA BARABARA
BEI NI 300,000/= X 6
💫💫 APARTMENT HII IPO KIMARA SUKA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 6 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
MAFUNDI WAPO KAZINI WANAENDELEA NA UKARABATI WA NYUMBA UCK NA MCHANA
💥 KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
0710614924