3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







Apartment inapangishwa KIMARA MWISHO
NYUMBA INA VYUMBA VITATU VYA KULALA NA KIMOJA
Master bedroom
Sebule
Jiko dogo ( sio kubwa)
Public toilet
Luku yako & Maji yana flow ndani
Full tilles, gypsum & aluminum
Paving block
Iko kwenye fenci
Usalama wakutosha
Kodi 400,000/= Kwa mwezi mmoja, Malipo miezi 6
Kwa maelezo zaidi piga :-
0712528820
0685221354
Mr.



















