3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 200,000x4x5
🏠APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
INAVYUMBA VITATU VYAKULALA KIMOTA WAPO MATSRI
#SEBULE
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET NDANI
🌀#LUKU MITA INAJITEGEMEA
🌀#MAJI DAWASA MITA YAKO MAJI YANATOKA NDANI
NYUMBA HAIPONDANI YA FENCE ILAUSALAMA UPOWAKUTOSHA
💰BEI NI 200,000X4X5
🛣NYUMBA HII IPO KIMARA MWISHO
.. KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2..USAFIRI BAJAJI 800..BODABODA 1000
KUONESHWA NYUMBA HII GHARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
SIMU 0659336751 WSP 0786085637