4 Bedrooms House for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







House for rent stand alone inayojitegemea ndani ya fency
Location ubungo barabara ya maji chumvi
Kodi 800000 kwa mwezi na dalali mwezi 1 Service charge 15000 kuona nyumba
Nyumba inafaa kwa office au kuishi kawaida nk
Sifa za nyumba
=====================
Room 4 za kulala na moja ni master bedroom
Room 2 zina A/C ndani
Sitting room kubwa
Kitchen with cabinet
Daning room
Umeme luku yake
Maji dawasa ndani yanafloo
Paving block
Parking space fenc
dalali ubungo mbezi kimara
0785299128