4 Bedrooms House for sale at Kiluvya, Pwani


NYUMBA INAUZWA KILUVYA MADUKANI
==
PIGA SIMU 0755831740
Juu Pana vyumba 4 vya kulala vyote master bedrooms sebule kubwa jiko na public toilet
Na underground kuna vyumba 2 vyote master bedrooms
Bei 85 Million #Maongezi_yap
Nyumba ina hati miliki ( CLEAR TITLE DEED)
Umbali KM 1.7 usafi Bodaboda 1000 na Bajaji zipo
Nyumba ina maji na umeme tayari
Nyumba inahitaji Tu finishings
Ukubwa wa ENEO SQM 1200
Kupelekwa kuona nyumba elfu 30.000/=
Contacts 0755831740