4 Bedrooms House for sale at Mbezi, Dar Es Salaam


TSHS BILIONI 1.35. (BILIONI MOJA NA MILIONI MIA TATU HAMSINI) GHOROFA MBILI ENEO MOJA ZINAUZWA.
ZIKO- DAR ES SALAAM,TANZANIA
MAHALI- MBEZI BEACH MAKONDE
UPANDE WA JUU KAMA UNAENDA TEGETA.
ENEO LIMEPIMWA UKUBWA WA SQM 1050.
NYARAKA ZA UMILIKI (HATIMILIKI YA WIZARA YA ARDHI)🇹🇿
GHOROFA KUBWA ZIMEJENGWA KISASA.
KUTOKA MAIN ROAD YA BAGAMOYO NI DAKIKA MBILI KWA MIGUU.
YENYE-;
Kila Ghorofa lina Vyumba Vinne vyote Master.
♦️Sitting Room
♦️Dining
♦️Jiko
♦️Public Toilet
🟣SERVANT QUARTER YENYE MASTER
🔴UNANUNUA NA KUHAMIA TU.
BEI NI TSHS BILIONI 1.35
MAWASILIANO-;
+255625584914


















