4 Bedrooms House for sale at Mkuranga, Pwani


Shamba lipo Mkoa wa pwani wilaya ya Mkuranga, Kijiji kilimahewa kusini linauzwa
Ukubwa wa shamba ekari 100
Lina mazao mengi ya kudumu kama miembe ya kisasa, mitiki, minazi, mikorosho ya kisasa n.k
Mabanda ya kuku
Nyumba ya wafanyakazi vyumba 4
Eneo lote linauzwa kwa pamoja kwa 1.8b(bilioni moja nukta 8)
Mchakato wa kupimwa umeshaanza.
Eneo lipo jirani na Viwanda vikubwa vya Tiles(Goodwill) na kiwanda kikubwa cha Vioo
Umbali kutoka main road(barabara ya kilwa) ni takribani 1.5km
Barabara ya gari inapitika muda wote kuelekea shamba
Service charge 100,000 haihusishi gharama za usafiri
Mawasiliano Whatsapp au call 0784 919 453,, call only 0658 582 977
Kujiunga na group letu la Whatsapp bonyeza hapa 👇 https://chat.whatsapp.com/BLDVlGxAuXH2z2p5y9u9fq
.
.
.
#home #business #farm #sale #realestate


















