Plot for sale at Mkuranga, Pwani


Eneo linauzwa limepakana na ZIWA MANSI LINAOPATIKANA MKURANGA MWARUSEMBE…
Ukubwa wa eneo ni heka 1.5 bei Tsh 25,000,000
Eneo lipo km 1.5 kutoka lami
Linafaa kwa ajili ya ujenzi wa BNB AU VACATION HOMES au kuwekeza tu
Eneo salama halina mamba
ziwa hili lina samaki
Pametulia na panafaa kwajili ya kuwekeza
Utaratibu wa site visit piga simu 0785367831
Whatsapp 0769355987
Gharama ya site visit ni Tsh 30,000


















