House for rent at Kati, Arusha


APARTMENT NZURI YA KIFAMILIA INAPANGISHWA IPO KATI YA KIMARA KOROGWE NA KIMARA MWISHO UMBALI WA DK 8 -10 MWENDO WA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD. 
•••••••••••••••••••••••••••••••••••••
SIFA ZA NYUMBA =
VYUMBA  4 VYA KULALA KIMOJA MASTER 
SEBULE KUBWA 
DINING TABLE 
STORE 
JIKO LENYE MAKABATI 
MAKABATI VYUMBANI 
TAILS 
GYPSUM 
SLIDE WINDOW 
PUBLIC TOILET ( BAFU / CHOO ) VYA  NDANI
REZEV SIMTANK 
UMEME LUKU INAJITEGEMEA 
MAJI DAWASA YANAFLOW CHOONI JIKONI 
NDANI YA FENSI FULL PEVING BLOCK PARKING SPACE KUBWA. 
----------------
KODI NI LAKI  600,000 /=
KWA MWEZI 
MALIPO YA MIEZI SITA NA MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA 
KUONA NYUMBA NI ELFU 15,000 /=
••••••••
BIASHARA NAMALIZA MWENYEWE SINA CHENI ###MPANGAJI ANAMALIZIA KUTOA VITU VYAKE  LEO RUKSA KUONA  NDANI NA KULIPIA
  0655256419




















