House for rent at Kati, Arusha


HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA INAKUWA WAZI TAREHE 30/05/2024 NDUGU MTEJA KAMA HAUNA HARAKA KUONA KULIPIA RUKSA NI MPYA WEWE UNAKUWA MPANGAJI WA PILI KUHAMIA
#MASTER BED ROOM NA JIKO
#CHUMBA NA CHOO CHAKE NA JIKO KIKUBWA SANA
#LUKU 2 SUBMITER
#MAJI DAWASA NDANI
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCK MAZINGIRA MAZURI SANA ULINZI WA KAMPUNI NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING YA KUTOSHA
#LOCATION KIMARA MWISHO DK 10-15 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI BODA BUKU MPAKA GETINI
#BEI NI 150,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6
#NOTE KUJA KUONA NYUMBA NI SHINGI ELFU 15 YA KITANZANIA
CALL
O627977383
MR ROONY