House for rent at Kati, Arusha


HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA IPO WAZI
#SEBULE KUBWA
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO KUBWA LENYE MAKABATI
#CHOO CHA FAMILIA
#TAILZY GIPSAM MADIRISHA YA SHATA MAKUBWA YENYEWE HEWA SAFI
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING YA KUTOSHA
#LOCATION KIMARA KONA DK 5 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI NJIA RAFIKI KWA GARI ZOTE ZA CHINI
#BEI NI 400,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6
KUIONA NYUMBA ELFU 15000
UTAMLIPA DALALI KODI YAMWEZI MMOJA UKILIPIA NYUMBA
0713320608
0686334182