House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA YA KUPANGA KIMARA MWISHO 
======================
*CHUMBA MASTER BED ROOM, SEBULE, PUBLIC TOILET NJE, MAJI DAWASA YAPO 
*ZIKO 3 KTK COMPAUND MOJA, LUKU YA KUSHEA WA 2
*NYUMBA IKO UMBALI WA KM2, BAJAJI, DALADALA, TAX700/=
*KODI 130,000/= KWA MWEZI 
_____________________________
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA 
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347




















