House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA inapangishwa ipo kimara korogwe usafiri bajaji
ina CHUMBA MASTER
SEBULE KUBWA
JIKO ZURI
inajitegemea umeme na maji dawasa yana flow ndani
๐ฐkodi 300,000 kwa mwezi mmoja malipo ni miez 6
ipo ndani ya fensi paking ipo
kuona nyumba elfu 20000 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
ukipenda nyumba utalipa mwezi mmoja kwa dalali pindi unapolipia nyumba
#0625606710