House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT ZINA PANGISHWA KIMARA SUKA DK15 KWA MIGUU KUTOKA LAMI
-------
Chumba master
Seble kubwa
Jiko open kitchen
Luku yako
Maji yana flow
Tiles
Gypsum
Slide window
Ndani ya fence
Paving block
Parking space kubwa sana
--------
Service charge 15,000/=
Kodi 250,000/=×6
---------'
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 2.5
----------
CONTACT
#0676_218580(WhatsApp)
=KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT 🇹🇿
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA 🙏