House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


IMESHUKA BEI SASA NDUGU MTEJA WAHI CHAPU  MPKA 200,000 IPO KIMARA MWISHO 
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA HAKUNA MASTER ILA KUNA PUBLIC TOILET YA NDANI 
JIKO SAFI
INA TAILS JIPYSUM MADILISHA YA KIOO 
KODI NI 200,000X6 
IPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA 
KWENYE COMPAUND MOJA ZIPO APARTMENT MBILI TU NA HII MOJA NDIO IPO WAZI 
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI PIA YANA FLOW NDANI 
UMBALI TOKA MOROGORO ROAD NI KM 2
USAFILI BAJAJI 700
BODABODA 1000
UKISHUKA UNAPIGA TEKE MLANGO 
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG NI 15,000 
__________
CALL 0779646072
  0713545127 WhatsApp




















