House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA
๐ฅ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA KIKUBWA
#SEBULE KUBWA SANA
โผ๏ธHAKUNA JIKO
#CHOO KIZURI CHA NDANI KWA NDANI (PUBLIC TOILET)
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA
BEI NI 200K X 6. Itakuwa wazi tareh 28 mwezi 3
ILIPWE LAKI 2 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
๐๏ธ APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 20 TUU KWA MIGUU AU BAJAJI SH 500
๐ฅ KUONESHWA NYUMBA HII UTALIPIA PESA SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA SHILINGI LAKI 2 (200K)
Kupelekwa kwenye nyumba elfu kumi na Tano itadumu mpaka unapata nyumba dalali mwenzi mmoja TU
Dalali kimara suka Leonard
0719-092747
0683-387747
Napatikana muda wote karibuni sana wateja