2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







KODI NI  200,000  x  6  KIMARA  MWISHO  APARTMENT  YA KISASA  INAPANGISHWA ZIPO 2 TU  KWENYE COMPAUND MOJA 
UMBALI  KILOMETER ( 2,5 )  TOKA KIMARA  MWISHO  MWENDOKASS 
USAFIRI WA UHAKIKA 
BAJAJ BUKU TU
VYUMBA(  2 ) VYA KULALA KIMOJA WAPO MASTER SEBULE KUBWA SANA  NA JIKO  LA KISASA  PUBLIC TOILET YA NJE
TILES  GPYSUM  SLAIDING 
WINDOW
UMEME  MITA YAKO
MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI
FENCE INAMALIZIWA KUJENGWA 
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES GHUG 15,000/=
NA BILA KUSAHAU KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPAPO NYUMBA
SIMU 0659336751 WSP 0786085637



















