House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT ZINA PANGISHWA KIMARA SUKA DK13 KWA MIGUU KUTOKA LAMI BODA BUKU INAKUWA WAZI TAR 29.2.2024 KUONA NA KULIPIYA LUKSA
-------
Vyumba 2 vya kulala kimoja master bedroom
Sebl kubwa
Jiko kubwa la kisasa
Public toilet
Slide window
Maji yana flow
Luku yako
Tiles
Gypsum
Ndani ya fence
Parking space kubwa
--------
Serv charge 15,000/=
Kodi 400,000/=×6
---------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 4
---------
Contact
📞#0676_218580 (WhatsApp)
📞#0693__673010
#dalali_big_kimara🇹🇿🇹🇿🍾
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT 🇹🇿
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA 🙏