House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


🏡APARTMENT YA KUPANGA KIMARA MWISHO (300,000X6)
*VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER BAED ROOM,SEBULE,JIKO, PUBLIC TOILET MDANI,MAJI YANA FLOW NDANI.
*ZIKO 4 KTK COMPAUN MOJA,NA KILA MMOJA INA JITEGEMEA KILA KITU NDANI,PARKING SPACE KUBWA SANA
*NYUMBA IKO UMBALI WA KM1.5,BAJAJI,DALADALA,SH 500/=
*KODI 300,000 KWA MWEZI
*KWA MAELEZO ZAIDI PIGA CONTACT 0744242423
🎯SERVICE CHARGE Y KUONA NYUMBA 1500O/=