House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT INAPANGISHWA LOCATION KIMARA MWISHO KM 2 TUU ?
USAFIRI BAJAJI ZIPO SH 1000
UKISHUKA UNATEMBEA DAKIKA 1 UPO NDAN 
SIFA YA NYUMBA NI 
Vyumba viwilli vya kulala sebure kubwa sana DAING room jiko zuri Nyumba ipo ndani ya fence zipo 3
Kiramoja inajitegea umeme maji mnashea 3
BEI YA PANGO NI 250,000 X 5-6 
--‐-----------------------------------------
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG 15,000 
UKIPENDA NA KULIPA DALALI UTAMPA HELA YA MWEZ MMOJA 
CALL 
CALL 
☆☆☆☆
#0785889413




















