House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI INAPANGISHWA KIMARA MWISHO #200k
===
Chumba cha kulala
Sebule
Choo ndani ( master)
Jiko zuri
Inajitegemea umeme na Maji
Ndani ya fence parking IPO
====
Bei:200,000 Kwa mwezi × 3
===
Umbali KM 1.5 Bajaji zipo
===
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
===
PIGA CM. 0764575774