House for rent at Mawasiliano, Morogoro


NYUMBA NZURI SANAAA INAPANGISHWA š±
-PEKEAKE KWENY FENCE
šMAHALI- MLIMWA C
šŖ MUUNDO
~~Vyumba V3 vya kulalaa (02 MASTER)
~~sebule kubwa
āDining
~~Store
~~jiko zuri
~~Public toilet ya nje
______________________________
HUDUMA
~~Maji yapo muda wote
~~Umeme upo unajitegemea
~~Parking space kubwa
~~iko ndani ya fence
~~usalama wa kutosha
______________________________
š°MALIPO
~Bei ni 400,000 @ mwezi
~Muda wa malipo miez 6+
______________________________
NB; MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA..ATALIPIA MTEJAš
āļø MAWASILIANO
+255752444581 call/ wtsp
šāāļøGharama za kwenda site ni 10,000#