House for rent at Mawasiliano, Morogoro


💥 APARTMENT KALI SANA YA KISASA MPYAA A ZINAPANGISHWA KIMARA MWISHO
WAHI MAPEMA NDUGU MTEJA HII SIO YA KUKOSA
HAPA ZIPO NYUMBA AINA TOFAUTI MBILI SOMA MAELEZO VIZURI
💥1)VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER BEDROOM
SEBULE KUBWA SANA
JIKO KUBWA ZURI LENYE MAKABATI
KABATI LA NGUO CHUMBANI
FENI ZA JUU
✔️ UMEME LUKU YAKO
✔️ MAJI DAWASA YANAFLOW JIKONI NA CHOONI
✔️ WATER RESERVE TANKS
❤️KODI 450K×6
ILIPWE LAKI NNE NA ELFU HAMSINI TU KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
💥2)CHUMBA KIMOJA MASTER BEDROOM
SEBULE KUBWA
JIKO KUBWA LENYE MAKABATI
KABATI LA NGUO CHUMBANI
FENI ZA JUU
✔️ UMEME LUKU YAKO
✔️ MAJI DAWASA YANAFLOW JIKONI NA CHOONI
✔️ WATER RESERVE TANKS
❤️KODI 300,000\/=×6
ILIPWE LAKI TATU TU KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
🔥NYUMBA IPO NDANI YA FENCE NZURI SANA USALAMA KAMA IKULU
NYUMBA HII IPO KIMARA MWISHO UMBALI WA KM 2 KUTOKA MOROGORO ROAD UPANDE WA KULIA KAMA UNAELEKEA MBEZI
USAFIRI
BAJAJI 700 UKISHUKA UNAPIGA TEKE MLANGO
BODA 1000
📞MAWASILIANO
0716223412
0683597453