House for Rent at Mjini, Ruvuma




JE WEWE NI MMOJA WAPO UNAYEITAJI/KUHANGAIKA KUPATA VIWANJA VYA MJINI....!?
..
Hii inakuhusu wewe unayeitaji kupata viwanja vya mjini, ambavyo vina huduma zote za muhimu.
Chagile Real Estate ni mabingwa na wazoefu wa hizi kazi, kwa zaidi ya miaka mitano.
Piga/WhatsApp
0654 77 39 67
0752 74 47 81
..
Tumekuandalia miradi yetu MITATU ya viwanja MBAGALA VIKINDU MJINI hupaswi kukosa kabisa ndugu mtanzania tena kwa bei rahisi na zakizawa.
..
Ni Viwanja Vizuri Na mji uliopangiliwa kisasa zaidi, viwanja vimepimwa ni tambarare na vimezunguka na huduma muhimu za kijamii, kama hospitali, shule za serikali, maji, umeme, vituo vya polisi na usafiri wa bajaji na bodaboda upo kila siku.
1]MRADI WA VIKINDU VIANZI MJINI.
Mradi wetu wa Vikindu Vianzi mjini bei zake ni TSh million 2.6 [tsh 2,600,000 /=] kwa millioni 3.3 TU [tsh 3,300,000/]. Malipo kwa awamu mbili utaanza na asilimia 50% hadi 70% kiasi kinachobakia utapewa miezi 3 paka 4
Mradi upo 3km kutoka lami.
Viwanja ni vizuri kwa ujenzi wa APARTMENT, makazi na biashara, maji yapo kwenye mradi, umeme upo kwenye mradi, bajaji mia 700 tu.
Ukubwa viwanja kuanzia sqm 200(40X50futi) ,400,600,800,1000.
..
2]MRADI WA VIKINDU CHANG'OMBE.
Bei Ya kiwanja kwenye miradi huu million 1.3 tu [tsh 1,300,000/=], utaanza na LAKI NANE TU ( TSH 800,000/=) kiasi kinachobakia utapewa miezi 3.
Maji yapo site, umeme upo karibu, viwanja vipo karibu kabisa na barabara kubwa ya ndani.
Mradi upo 6km kutoka lami.
Bajaji tsh 1000 paka site.
Ukubwa kuanzia sqm 200(40X50futi) , 400, 600,800,1000.
..
Usafiri wa kufika hapa VIKINDU kutoka Kariakoo, Posta, tandika, temeke, feryy ni uhakika muda wote, unapanda gari moja tu kutoka maeneo hayo.
..
NB. Karibu kuona viwanja kila siku, tupo kuanzia saa 4 asubuhi paka 10 jioni.
OFISI ZETU ZIPO VIKINDU.
Safari hii ushindwe ww tu kujenga na chagile Real Estate.
Ardhi ni hazina na fainali ni uzeeni kijana mwenzangu.
..
chagile_real_estate_tz
chagile_real_estate_tz
..
#simbasc #yangasc #tanzania #rayvanny#zuchu #azamsports2