Nyumba inapangishwa Mjini, Ruvuma

 media -1
media -1
media -2
media -3
Sh. 3,300,000
Project
Yes

JE WEWE NI MMOJA WAPO UNAYEITAJI/KUHANGAIKA KUPATA VIWANJA VYA MJINI....!?
..
Hii inakuhusu wewe unayeitaji kupata viwanja vya mjini, ambavyo vina huduma zote za muhimu.
Chagile Real Estate ni mabingwa na wazoefu wa hizi kazi, kwa zaidi ya miaka mitano.
Piga/WhatsApp
0654 77 39 67
0752 74 47 81
..
Tumekuandalia miradi yetu MITATU ya viwanja MBAGALA VIKINDU MJINI hupaswi kukosa kabisa ndugu mtanzania tena kwa bei rahisi na zakizawa.
..
Ni Viwanja Vizuri Na mji uliopangiliwa kisasa zaidi, viwanja vimepimwa ni tambarare na vimezunguka na huduma muhimu za kijamii, kama hospitali, shule za serikali, maji, umeme, vituo vya polisi na usafiri wa bajaji na bodaboda upo kila siku.

1]MRADI WA VIKINDU VIANZI MJINI.
Mradi wetu wa Vikindu Vianzi mjini bei zake ni TSh million 2.6 [tsh 2,600,000 /=] kwa millioni 3.3 TU [tsh 3,300,000/]. Malipo kwa awamu mbili utaanza na asilimia 50% hadi 70% kiasi kinachobakia utapewa miezi 3 paka 4
Mradi upo 3km kutoka lami.
Viwanja ni vizuri kwa ujenzi wa APARTMENT, makazi na biashara, maji yapo kwenye mradi, umeme upo kwenye mradi, bajaji mia 700 tu.
Ukubwa viwanja kuanzia sqm 200(40X50futi) ,400,600,800,1000.
..
2]MRADI WA VIKINDU CHANG'OMBE.
Bei Ya kiwanja kwenye miradi huu million 1.3 tu [tsh 1,300,000/=], utaanza na LAKI NANE TU ( TSH 800,000/=) kiasi kinachobakia utapewa miezi 3.
Maji yapo site, umeme upo karibu, viwanja vipo karibu kabisa na barabara kubwa ya ndani.
Mradi upo 6km kutoka lami.
Bajaji tsh 1000 paka site.
Ukubwa kuanzia sqm 200(40X50futi) , 400, 600,800,1000.
..
Usafiri wa kufika hapa VIKINDU kutoka Kariakoo, Posta, tandika, temeke, feryy ni uhakika muda wote, unapanda gari moja tu kutoka maeneo hayo.
..
NB. Karibu kuona viwanja kila siku, tupo kuanzia saa 4 asubuhi paka 10 jioni.
OFISI ZETU ZIPO VIKINDU.

Safari hii ushindwe ww tu kujenga na chagile Real Estate.

Ardhi ni hazina na fainali ni uzeeni kijana mwenzangu.

..
chagile_real_estate_tz
chagile_real_estate_tz

..
#simbasc #yangasc #tanzania #rayvanny#zuchu #azamsports2

Chagile Real Estate TZ |WAUZAJI VIWANJA [PLOTS SERVICES]
chagile_real_estate_tz
Chagile Real Estate TZ |WAUZAJI VIWANJA [PLOTS SERVICES]

Similar items by location

Nyumba/Apartment inapangishwa Mjini, Ruvuma

Sh. 100,000

PUNGUZO LA BEI SASA LIMEKUBALIWA APARTMENT NZURI ZAKISASA INAPANGISHWA BEI NI A)150,000/= X 4B)100,0...

Nyumba/Apartment inapangishwa Mjini, Ruvuma

Sh. 100,000

PUNGUZO LA BEI SASA LIMEKUBALIWA APARTMENT NZURI ZAKISASA INAPANGISHWA BEI NI A)150,000/= X 4B)100,0...

Kiwanja kinauzwa Mjini, Ruvuma

Sh. 45,000,000

*CASH IS KING*HAPA NI MLIMWA C USHUWANI 🇧🇮BLOCK: AA🇧🇮PLOT :1199🇧🇮SQM: 773🇧🇮UMBALI KUTOKA MJI...

Nyumba/Apartment inapangishwa Mjini, Ruvuma

Sh. 100,000

PUNGUZO LA BEI SASA LIMEKUBALIWA APARTMENT NZURI ZAKISASA INAPANGISHWA BEI NI A)150,000/= X 4B)100,0...

Nyumba inapangishwa Mjini, Ruvuma

Sh. 5,000,000

APPARTMENTS 05 ZINAPANGISHWA ZOTE KWA PAMOJA1.WATU MNAOTAFUTA NYUMBA ZA KUFURNISH HIZI ZINAWAFAA2.OF...

Kiwanja kinauzwa Mjini, Ruvuma

Sh. 47,000,000

SQM 700Kiwanja cha pili lami Kiwanja kina fensi pande mbiliKiwanja kipo DODOMA MJINI Docs HATIBei ni...

Kiwanja kinauzwa Mjini, Ruvuma

Sh. 230,000

✅PLOT AVAILABLE FOR SALE ✅SQM 5000✅DODOMA MJINI ✅price $230k ✅CLEAN TITLE DEED ✅ call /whatsup 06555...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mjini, Ruvuma

Sh. 250,000,000

INATAZAMA BARABARA YA LAMI YA KISASANYUMBA NA KIWANJA KIKUBWA INAUZWA KISASA MWANGAZA DODOMA MJININY...

Nyumba/Apartment inapangishwa Mjini, Ruvuma

Sh. 160,000

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 160,000/= X 6MPYA MPYA MPYA !!!!!!!! 🌟 APARTMENT HII ...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mjini, Ruvuma

Sh. 250,000

*📢 NYUMBA INAPANGISHWA – JINERI, SINGIDA 🏠* Nyumba nzuri inapangishwa ikiwa na: ✅ Vyumba 2 (kimoja...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mjini, Ruvuma

Sh. 250,000

*📢 NYUMBA INAPANGISHWA – JINERI, SINGIDA 🏠* Nyumba nzuri inapangishwa ikiwa na: ✅ Vyumba 2 (kimoja...

Kiwanja kinauzwa Mjini, Ruvuma

Sh. 150,000,000

Hellow Tanzania ,HELLOW DODOMA MJINI Leo tena ni KASH INVESTIMENT DODOMA ✅NAILETA NYUMBA HII DODOMA ...

Nyumba inauzwa Mjini, Ruvuma

Sh. 400,000,000

Nyumba inauzwaMagomen usalama Jirani na DCB bank na cotter za magufulKulia ukitokea mjini Plot ya 3 ...

Nyumba/Apartment inapangishwa Mjini, Ruvuma

Sh. 400,000

APARTMENT FOR RENTMjini Morogoro400,000/=0678-517158/0785-517158

Kiwanja kinauzwa Mjini, Ruvuma

Sh. 300,000,000

KIWANJA CHA KWANZA TOKA BARABARA YA LAMI JIRANI NA MJINI (MPAMAA)_______MAHALI-MPAMAA_______UKUBWA W...

Kiwanja kinauzwa Mjini, Ruvuma

Sh. 60,000,000

HII SIYO YA KUKOSA LOCATION STOPOVER UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MJINI UMBALI KM 1.3 BODABODA 100...

Nyumba inauzwa Mjini, Ruvuma

Sh. 3,000,000

GHOROFA LINAPANGISHWA MAENEO YA MJINIKWA MATUMIZI YA OFISI(SHIRIKA NA MAKAMPUNI/TAASISI)MAKAZI PIA U...

Kiwanja kinauzwa Mjini, Ruvuma

Sh. 95,000,000

👉KIWANJA KIZURI KINAUZWA👉USIKOSE NA HIKI➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖📍MAHALI- DODOMA ITEGA USHUANI ➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖👉U...

Nyumba inauzwa Mjini, Ruvuma

Sh. 35,000,000

ENWO LINAUZWA DODOMA MJINI MPAMAA KARIBU NA ✅MLIMWA C AU SWASWA Dodoma mjini Pagale linauzwa Bei ni ...

Kiwanja kinauzwa Mjini, Ruvuma

Sh. 18,000,000

Block ZE mwanzo wa lami michese 👉SQM 586 👉Plot no.599 👉Bei 18milion DOCUMENT HATI MILIKI 👉mit...