House for Rent at Tabata, Dar Es Salaam


Nyumba inauzwa Tabata Shule, ina wapangaji watatu wanaolipa jumla ya TZS 950,000 kwa mwezi. Ipo umbali wa mita 300 kutoka barabarani na ina hati miliki ya wizara. Bei ni TZS 150 milioni.
: #NyumbaInauzwa #TabataRealEstate #UwekezajiNyumba #NyumbaZaWapangaji #RealEstateTZ #FursaZaUwekezaji#dalalisoso