House for Rent at Tabata, Dar Es Salaam


Nyumba inauzwa
Tabata Muslim, ni nyumba inayoishi na jumla ya wapangaji wanne kweny [ compound ]
Jumla ya tsh 950,000 anakusanya kwa Hali hiyo nyumba unavyoiona.
Ukiinununua mawili unaweza kukiakarabati kodi inaweza kupanda mpaka 1,200,000 kwa mwezi
Ama ukaivunja ukaanza upya unauwezo wakupata mpaka 2,300,000 kwa kila mwezi
Bei ni tsh 140,000,000
Hatimiliki ya wizara
Ipo meter 300 kutoka standkuu ya basi
Kuja kukagua 45,000
#dalalisosotabatainauzwa Tabata Shule
Nyumba ya kisasa Tabata Shule
Nyumba yenye eneo kubwa Tabata Shule
Nyumba karibu na barabara kuu Tabata Shule
Nyumba na hati miliki Tabata Shule
Nyumba yenye huduma zote Tabata Shule