House for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







SINGLE ROOM NZURI YA KUPANGA 70K X5,6
NAFAULISHA HAPA MTEJA ANATOKA IJUMAA KUONA NA KULIPIA RUKSA
KODI ELFU SABINI MALIPO YA MIEZI MITANO DALALI MWEZI MMOJA BILA KUPUNGUA
#LOCATION
UBUNGO EXTRENAL MIGOMBANI UNAWEZA PITIA TABATA KIMANGA SEGEREA KOTE UNAFIKA
SIFA ZAKE
TYRIES GYPSUM MADIRISHA SHATA YENYE HEWA SAFI NDANI YA FENCE PARKING SPACE KUBWA PEVING BLOCK FULL MAKABATI YA NGUO
GHARAMA ZA KUONA NYUMBA 15,000 MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA