House for rent at Ubungo, Dar Es Salaam


APARTMENT KALI 2 TU NDANI YA FENCE MOJA ZINA PANGISHWA UBUNGO MAKOKA KWA MKUWA KM2 KUTOKA KIMARA KOROGWE AU UBUNGO EXTERNAL BAJAJI 500/=
INAKUWA WAZI MWISHO WA MWEZI HUU
------
Vyumba 2 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa sana
Jiko kubwa la kisasa lina makabati
Public toilet
Maji yana flow
Luku yako
Tiles
Gypsum
Ndani ya fence
Paving block
Parking space kubwa sana
-------
Service charge 15,000/=
Kodi 500,000/=ร6
--------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 5
---------
Contact
๐#0676_218580 (WhatsApp)
๐#0693__673010
#dalali_big_kimara๐น๐ฟ
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT๐น๐ฟ
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA ๐